@lugmeryz @KennedyMmari Hapana ila mikataba na wachina na Russia, haijawa na masharti magumu yanayo ambatana na vikwazo, US akitaka kitu uka mnyima unaskia nchi yenu haina democrasia. Shida ni Zimwi US limesha fanya madudu mengi kiasi kwamba mazimwi mengine yanaonekana kama malaika
11



