Ukiwa na pesa imetulia na hutaki kuweka MMF , enda huko mumias interior uka lease miwa.
An acre unaeza pata na 30k for 6 years (3 cuts) , that's kama iko na miwa...
Kama ni shamba tu bila miwa unaeza mpea 20k and plant your own.
Every cut kama umelinda shamba vizuri inaeza weighing between 7- 15 tonnes.
Different companies zina offer different prices per tonnage na minimum ni 5k per tonne.
Sasa ukivuna unapata around 5k*20 tonnes per cut.
For 3 years unaeza bag 300 large.
Expenses pia ziko na ni mingi
Na pia patience muhimu
Plus ukichukua kwa boma ya vijana maskini unapata hyo ndo chakula ya vijana.
Meanwhile, hii ni rahisi na i am doing it..
Toda, we're harvesting after kutafta permit for 3 months, ndo west Kenya wamenihurumia sasa.
Farming is great