@ThatBoyKhalifax@Tz_Kwanza Kiukweli nilishangazwa na ule uamuzi wa #Mo kuwanunulia wachezaji bodaboda nilishangaa sana aise,nikajisemea tu moyoni kweli warangi rangi hawanaga utu....mtu katoka kuingiza billions of sh alafu anawanunulia pikipiki wachezaji sijaelewa hadi leo #Mo alikuwa ana maana gani