Haki ya kuwa na mazingira safi, salama na ya kiafya itahusisha haki kwa kila raia kutumia elementi za umma au sehemu mbalimbali za mazingira, kwa madhumuni ya burudani, elimu, afya, ibada, utamaduni na uchumi. #ESKI @HakiRasilimali @VPOTanzania @Forumcctza @AYTTanzania #Act2004
2
3
