Ndula👑
Ndula👑 @Lestlesslearner
Replying to @EsirEid
@EsirEid #tajiri usemalo ni kweli LAKINI thamani au ukubwa wa hela hautokani na wingi wa unazotafuta ila ni circle Yako ya kiuchumi Kuna wakati buku tano inaweza kuwa na thamani kuliko LAKI kulingana na Hali za wanaotoa hizo hela.. Kwahiyo tajiri au masikini hustle zao ni sawa
· 42 Views
1 Likes
42